Search

34 results for Dk Chris Mauki :

  1. PRIME KONA YA MAUKI: Je, una kiu na ndoa yenye mafanikio?

    Watu wengi wamekuwa wakifundishwa na kuelewa kwamba tunachotakiwa kuwa nacho ili tuishi kwenye ndoa ni upendo peke yake, upendo ukiwepo basi hakuna haja ya kingine chochote, mengine yatakuja...

  2. Mambo ya kuzingatia kwenye uhusiano

    Utakubaliana na mimi kwamba wengi wetu tunapitia changamoto nyingi sana katika ndoa au mahusiano yetu. Wengine hawapendi hali wanazozipitia lakini hawajui kwa nini wanapitia hali hizo, wakati...

  3. PRIME Namna za kuijenga ndoa yako-2

    Wiki iliyopita katika makala haya tulianza kuangalia kanuni rahisi za kukusaidia kuijenga ndoa yako. Makala iliyopita ilizitaja kanuni tano, wiki hii tunamalizia kuziangalia kanuni nyingine tano.

  4. Ndoa yako ina changamoto? Fanya haya kuijenga

    Kabla sijaenda mbali na kukuruhusu wewe msomaji kuzama ndani ya makala hii nadhani ni vema niliweke hili wazi kwamba njia hizi ninazozizungumzia sio ndiyo misingi ya ndoa. Misingi ya ndoa ni...

  5. Ulevi unavyochangia kuchepuka

    Ushawishi wa kilevi, unaelezwa kuwa moja ya sababu zinazochangia wenza kuchepuka. Wako watu wanaojiamini sana na wanajihisi wenye uwezo wa kujizuia, lakini mara wanapokuwa katika ulevi hushindwa...

  6. Sababu zinazochochea mpenzi kuchepuka-2

    Katika makala yaliyopita nilieleza kuwa siku hizi kuna malalamiko kwa wanandoa wengi kutokuwa waaminifu. Hata hivyo, yapo mambo kadhaa yanayosababisha hali hiyo, ikiwamo hofu zinazohusiana na...

  7. Sababu zinazochochea mpenzi kuchepuka

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la malalamiko kwa wanandoa wengi kutokuwa waaminifu. Wapo waliokabiliana na misuguano, mapigano na ugomvi kwa sababu ya jambo hilo.

  8. Sababu zinazochochea mpenzi kuchepuka

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la malalamiko kwa wanandoa wengi kutokuwa waaminifu. Wapo waliokabiliana na misuguano, mapigano na ugomvi kwa sababu ya jambo hilo.

  9. Kinachowakimbiza wanaume mwanzoni mwa uhusiano-2

    Katika makala yaliyopita nilieleza kuwa, mwanamume anapogundua mazingira aliyopo katika uhusiano hatayaweza, huanza kufungasha virago vyake kimya kimya.

  10. Kama una dalili hizi, unanyemelewa na tatizo la akili

    Ndivyo anavyosema mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Chris Mauki akisema, kumekuwa na utamaduni wa kuwaona watu wenye changamoto ya afya ya akili kama vichaa...

Page 1 of 4

Next